Wema Sepetu Ataja Kiasi Alichotapeliwa na PCK

Mwanadada Wema Sepetu ambae aliwahi kusema kuwa alipokuwa na mahusiano na mwanaume aliejulikana kama pck ambae alikuja kumuingiza katika matatizo ya kusambaza picha na video za utupu ameamua kusema kiasi husika ambacho alitapeliwa na mwanaume huyo.

Wema Sepetu ambae alikuwa katika mahaba mazito na mwanaume huyo (future husband) walikuwa wakifanya mambo mengi katika mitandao ya kijamii na hata kutangaza kuwa wanatarajia kufunga ndoa na kwamba  huyo ndio alikuwa mwanaume wake kwa sasa na ameamua kutulia.

download latest music    

Hata hivyo Wema amekanusha kiasi kile cha kwanza ambacho kilidaiwa kuwa ni milioni 40 bali ni milioni 64 za kitanzania.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.