Wolper Aanza kujifuza Kingereza Kufanya Kazi na Rihana.

Mwanadada Jackilin Wolper amefunguka na kuelezea vile anavyojipnaga kwa ajili ya kufanya kazi na Rihana ikiwa hiyo ni ndoto yake ya siku nyingi ambayo anasema kuwa kamwa hatoweza kuiacha kuitimiza katika maisha yake.

Akiongea na mwandishi jackilne anasema kuwa kwa sasa hana process zozote zaidi ya kujifunza kingereza vizuri aweze kuwa konki katika lugha hiyo aweze kufanya kazi na msanii huyo mkubwa Duniani.

download latest music    

Wolper ambae anafanya biashara ya ubunifu wa mavazi anasema kuwa ‘sina porocess yoyote zaidi ya kujifunza sana kingereza ili kufankisha kufanya kazi na Rihana, nikitoka kazini nimekuwa nikisoma kingerza sana , siendi darasanai mwalimu amekuwa akija tu pale ofisini si unajua kuwa mimi nina ela alafu superstar, nipo nina kama mwezi sasa na nipo vizuri na sio kwamba eti sijui kabisa kingereza lakini tu sina confidence na siko fluent na lugha hiyo ila najua “

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.