Yafahamu Mavazi Makuu Manne Wanayopitia Wanawake

inawezekana sio kila mtu anaweza kuvaa nguo izo kwa kipindi muafaka kinapofika, lakini ngu hizi zinaweza kuwa ndoto ya kila mwanamke katika maisha yake ya hapa duniani.Na hata inapotokea ukakosa moja kwa bahati mbaya, inawezekana ukashindwa kupata lingine kwa muda muafaka pia.

1.sare za shule

download latest music    

Hiki ni kipindi ambacho mwanadada anakuwa shuleni, katika hatua za ukuaji shule ndio sehemu ambayo wengi haunza nayo kabla ya yote.Ni wachache pia wanaokosa  kwa bahati mbaya  kupita hapa tena kwa sababu maarum.

2.Gauni la Graduation(Joho)

Hii ni hatua ambayo kila mtu upenda kuifikai,gauni hili(joho) watu ulifanyia sana kazi mpaka kulipata.siku ya kulivaa kila aliyepata bahati ya kulivaa uonekana mwenye furaha na uonekana kulinga kwa hatua hii kubwa.kwa zamani ilikuwa ngumu kidogo kwa idadi ya wanawake wanaomaliza chuo na kuvaa joho, lakini sasa hali inazidi kbadili na idadi inaongezeka.

3.Gauni la Harusi

hili pia ni moja ya vazi wanawake wengi wanaomba kwa Mungu kulivaa na kufanikiwa kulipia, ingwa sio wote wanaolipitia lakini hii ni bahati kubwa kwa mwanadada kulivaa siku yake ya harusi.huleata furaha kwa familia na heshima pia.

4.Gauni la Ujauzito(maternirty dress)

Imekuwa ni hatua wengi wanaipitia kabla ya hata ya tatu, yaani wasichana wengi wamekuwa wakigeuza hatua hizi mbili ya tatu na ya nne, lakini bado ni hatua muhimu na mwanawake wengi wamekuwa wakiomba kupitia.Hii ndio upelekea kuwa na watoto na kuongezeka kwa familia pia.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.