Yasemekna Penzi la Diamond na Kimnana Limefika Ukingoni.

Lile penzi lililokuwa gumzo kwa muda wa siku chache zilizopita kati ya Diamond na mwanadada Kimnana linasemekana kufika mwisho baada ya mwanadada huyo kuonekana akitupiwa mabegi nje katika gate la Diamond Platinumz.

Mwanadada huyo ambae nae alikuja kwa kasi bila kuangalia wanawake waliopita kwa diamond walikuwa katika hali gani alijikuta akijihusisha kimapenzi na diamond tena bila kuogopa penzi lao lilikuwa wazi kwa muda mfupi tu.

download latest music    

Kurasa za Udaku zinasema kuwa mwanadada hyo alitupiwa kibeg chae nje na kuamua kuita usafiri aina ya bajaji na kuamua kurudi nyumbani kwake kwa sababu alikuwa tayari alishahamia nyumbani hapo madale.

Kimanana hatokuwa mwanake wa kwanza kuwa na uhusiano na diamond na kufanyiwa udhalilishaji huu kama inavyodaiwa.

Kimnana ambae anajihusisha na mambo ya video vixen  ameweza kuvuma kwa muda mcahcahe aliokuwa na Diamond na gafla imekuwa kimya.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.