Loading...

Yawezekana Idris Anatoka na Mwanadada Huyu.

July 11, 2018 at 08:09
Yawezekana Idris Anatoka na Mwanadada Huyu.

Kumekuwa kukisemekana kuwa mchekeshaji na muigizaji idris sultani akawa na mahusiano na mwanadada maya  mia mabe ni make -up artist na pia moja ya washiriki katika mtandao wa you tube.

Tetesi hizo zilianza kusambaa baada ya idris kuweka picha yake na mwanadada huo katika ukurasa wake wa iinstagram lakini baadae kufuta picha hizo huku picha hizo zikigubikwa na comment kivao kutoka kwa mashabiki.

Loading...

Hata hivyo bado sio mbaya kwa msanii idris ambae tangu alijaribu kuweka mahusiano yake wazi na wanadada wema sepetu na baadae kuvunjika amekuwa akikaa kimya na kuonekana yuko nyuma sana kuweka wazi mahusiano yake.

Lakini pia kutokana na wigo mpana alionao Idris kwa sasa wa kufanya kazi na wasanii wa nje inakuwa rahisi kwake kukutana na watu mbalimbalia ambae anaweza kuweka nao mahusiano mapya.hata hivyo caption za Idris zimekuwa na utata sana katika kurasa zake za mitandao ya kijamii hivyo ni ngumu kuthibitisha swala hilo.

 

Share

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *


in Entertainment

Loading…