Zamaradi Aungana na Watanzania Kumuombea Ruge

Mwanadada Zamaradi Mketema mabae aliwahi kuwa mfanyakazi wa clouds media lakini pia mpenzi wa ruge mutahaba kwa miaa ya nyuma, ameamua kusaidia na wanafamilia na pia watu wa karibu wa ruge atia kufanya kampeni ili kuweza kaputa psa ya matibabu ya baba watoto wake.

Zamaradi ambae aliwahi kuwa katika mahusiano na ruge na kubahatika kuwa na watoto wawili, amefunguka na uandika atika ukurasa wake wa instagram kama ilivyouwa imepostiwa na Clouds media yaan ku-repost kwa kuwaomba watu kkusaidia kufanya uchangiaji wa matibabu ya murugeniz huyo wa clouds media.

download latest music    

Hata hivyo haikuwa rahisi uona mwanadada huyo kufanya hivyo kwa sababu  ya kutokuwepo kwa maelewena kati ya mwanadada huyo na baba wa watroto wake kama ilivyokuwa ikisemekana lakini mwanadada huyoa aliamua kuwea tofauti zao pembeni na kuangalia hali ya mgonjwa kwa sasa.

Ikumbukwe kuwa katika mitandao ya kijamii kwa sasa kuna kampeni ya kumsaidia bosi huyo hasa baada ya familia yake kusema kuwa kumekuwa na ugumu mkubwa sana wa kulipia matibabu ya Ruge kwa sasa kutokana na matibabu hayo kuwa na gharama sana.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.