Zari Afuta Namba ya Simu ya Baba Watoto Wake

Ni takribani Miezi mitatu sasa tangu Zari na Diamond walipoachana nakusambaratika kila mtu kuchukua ustaarabu wake lakini watoto bado wakiwa chini ya malezi ya mama yao.akimjibu moja ya mashabiki zake katika ukurasa wa instagram wa mtoto wake wa kike Tiffah , mwana mama huyo anasema kuwa hawezi kummiss Diamond na wala hana muda nae na ndio maana hata namba yake ya simu tu hana.

Katika picha hiyo ambayo Zari aliandika kuwa “how i wait for my papa’s call” ambapo baada ya hapo moja ya mashabki zake aliandika pia “believe me zari is missing ex-hubby text”  na ndipo Zari alipoamua kumjibu na kusema hana haja ya kumi-miss text zake maana hana namba za simu hana.

download latest music    

But i dont have his number incase i miss him,incase i miss him i dont have to expres it in  my daughter’s account  dont project your behaviour on me.

 

 

 

.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.