Zari Aguswa na Kifo cha Ruge Mutahaba.

Mwanamama Zari The Bossy amefunguka na kuonyesha huzuni na kuguswa kwake na msiba wa mwarakati na shujaa wa taifa bwana Ruge mutahaba ambae alikutwa na mauti mapema wiki hii.

Ukiachana na kwamba zari aliwahi kuwa na mahusinao na Diamond platinumz na hata baadae kuachana nae na kuacha kuwa anakuja tanzania, bado hakuona haja ya kuonyesha huzuni yake na kuungana na waombelezaji wengine.

download latest music    

katika ukurasa wake wa snapchat, mwanamama huyo kutoka Uganda aliweka picha ya ruge na kuandika R.I.P kama ambavyo wengine wamekuwa wakifanya kwa ajili ya Marehemu.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.