Zari Apiga Marufuku Wanaokwenda Kwenye Birthday ya Tiffah, Asema Watamchafulia nyumba.

Ikiwa impita siku moa tangu diamond kutanaza kuwa anatoa offer ya watu kumi kwenda kwenye birthday party ya Tiffah huko Afrika ya Kusini mwezi ujao huku akimtaja wema na aunty ezekiel katika list hiyo, mambo yameanza kuwa moto baada ya Zari ane kuanza kupaniki na kujibu kuwa hataki kuona mtu nyumbani kwake kwa sababu watamchafulia nyumba.

katika moja ya comments za mashabiki, aliyemwambia Zari kuwa siku ya birthday wanakwenda mama wadogona namashangazi zake zari nae alionekana kupaniki na kujibu kwa hasira, kama hivi.

download latest music    

shabiki”mama tee tunakuja sauzi sis shangazi zake na tee na mama zake wa kambo” na ndipo zari alipoamua kumjibu “hahaa sitaki kunichafulia nyumba samahani mkai uko uko

Kwa upande wa Diamond ambae anaonekana kuisubiria kwa hamu sikukuu hiyo ya mtoto wake wa kwanza wa kike na hata kutoa ofa kwa mashabiki zaidi ya 20 kwenda kushereea sherehe hiyo , huku mama wa mtoto akionekana bado ana kisirani.lakini pia kitu cha kuhoji ni kwamba inawezekana diamond anatoa ofa hizi bila kumshirikisha mama wa watoto wake.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.