Loading...

Zari Awachanganya Mashabiki

March 04, 2019 at 09:09
Zari Awachanganya Mashabiki

Mwanamama Zari The Bossy anaonekana kuwachanganya mashabiki wake hasa baada ya kuwa na sura mbili na kila mara amekuwa mtu wa kubadilika badilika hasa katika swala la dini.

Kuna muda  zari amekuwa akionekana akiwa anakwenda kanisani na watoto wake hao , na hata kuonyesha yuko kanisani akiwa na watoto wake wakiimba mapambio, lakini mara nyingine mwanamama huyo anakuwa akionekana akivaa nguo za kiislamu na kuweka caption za kwenda msikitini.

download latest music    

Hata hivyo pamoja na kwamba watoto wa zari aliozaa na diamond pkatinumz hawakupswa kwenda kanisani kutokana na dini ya baba yao lakini mama huyo aliwahi kuwiangiza kanisani watoto hao.

Hii pia haitoshi , zari amekuwa akionyesha kusoma dua nyumbani kwake , kitu kinachowachanganya mashabiki na kutaka kujua wako upande gani.

Share

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *


in Entertainment

Loading…