Download Music: Kusah x Ruby – Kelele

July 03, 2019 at 08:47
Download Music: Kusah x Ruby - Kelele

Have a listen to KELELE by the ever blazing Kusah featuring Ruby.

Download, stream and share Kusah x Ruby – Kelele  below:-

download latest music    

DOWNLOAD MP3

Lyrics

Oooh yeah yeah yeah yeah…
Oooh yeah yeah yeah yeah…
Ooh oooh ooh…
We umenikaa,
umenikaa kwa roho
Nafsi mpaka akili yangu
We dada umenibamba(mmmh..mmh mmh)
Oooh darling, Alafu tumetokaga mbali
(mmmh) Sioni dalili ya kukuumiza ukalia Alafu darling,
Mwenzako nakupenda kweli(mmmh) Tufike wawili,
sitaki mwingine kwa safari Penzi letu lime takeover
Nimekunywa nina hangover
Umegeuka gari umenigonga(mmmh mmmh)
Penzi letu lime takeover Nimekunywa nina hangover
Umegeuka gari umenigonga(mmmh mmmh)
Umenishika kichwa, umeninyonga
Ila kelele lele, bwana kelele lele Kelele lele, bwana kelele lele Oooh kelele lele,
bwana kelele lele Kelele lele,
bwana kelele lele Wale walinidhulumu,
Nikawapa waka wakaiba Ukaifuta na sumu Ukaijenga na huba..
Baba baba niongezee
Nipe vyote nikumbatee
Na mahaba nipe yotee Wale wasinikamate(iyee)
Penzi letu lime takeover Nimekunywa nina hangover
Umegeuka gari umenigonga(uuuh…)
Penzi letu lime takeover
Nimekunywa nina hangover
Umegeuka gari umenigonga(mmmh mmmh)
Umenishika kichwa, umeninyonga Ila kelele lele,
maneno ya kando kando Bwana kelele lele,
hayanaga mipango Kelele lele, yatakwisha mama
Kelele lele,(iye iye iye) Oooh kelele lele,
maneno ya kando kando Bwana kelele lele,
hawanaga mipango Kelele lele,
yatakwisha baba Kelele lele,
(iye iye iye) Maneno ya kando
kando Hayanaga mipango Yatakwisha mama (iye iye iye)

 

Share

in Audios

Recommended Posts