Urembo wa Kucha na Rangi Zake
Wadada wengi siku hizi wamekuwa wakijali sana kucha zao kwa kupaka rangi ama hina ambapo kwa urembo ni jambo zuri sana, wapo pia wanaotaka kuongeza kucha urembo kwa kubandika zile za bandia lakini hapa unashauri kuchagua kucha bora na zenye kiwango lakini pia gund nzuri ili isikuletee madhara.