Binamu wa Ivan ambaye karibu asababishe kuvunjika kwa ndoa ya Zari amwomba Diamond msamaha

Diamond alinung’unika baada ya Zari kuonekana akiwa anaogelea kwenye pool na mwanaume mwingine. Jambo hilo lilizua uvumi kuwa mwimbaji huyo anamwacha Zari.

Diamond alionyesha kukerwa kwake na hatua ya Zari kuonekana kwa pool na mwanaume mwingine alipoweka picha ya Zari na mwanaume huyo kwa Instagram, lakini aliitoa baadaye.

download latest music    

Zari alieleza kuwa mwanaume aliyeonekana na yeye alikua  binamu wa Ivan Ssemwanga ambaye anajulikana kama Edwin Lutaaya.

Zari pia alieleza kuwa mkewe Edwin Lutaaya alikua nao kwenye hio pool wakiogelea pamoja. Alikashifu vyombo vya habari kwa kusambaza habari za uongo kumhusu yeye na  Edwin Lutaaya.

Edwin Lutaaya pia amejitokeza na kueleza ukweli wa mambo. Akiongea na Kakensa Media kwa simu, Lutaaya alimwomba Diamond msamaha kwa yote yaliyosemwa kwa habari, alieleza kuwa hana nia yoyote ya kumtaka Zari.

Edwin Lutaaya

Binamu wa Ivan pia alisema kuwa anamheshimu sana Diamond kiasi kwamba hawezi taka kuwa chanzo cha ndoa yake na Zari kuvunjika.

“This goes out to Diamond, I know you can’t hear much of Luganda… I never meant to offend you neither did I touch Zari’s bums, you misquoted the whole situation. That picture was taken with decency, we never even took any closure next to each other. Deep down in my heart I don’t have any intentions of hitting or proposing to my in-law (Zari), in our custom it doesn’t allow that. And I want to make it very clear this this moment… please I respect your family and I respect your relationship with Zari. I can never come in between us or anyone in our family, I will never come between you,” Edwin Lutaaya alisema.

 

 

About this writer:

Martin Oduor

Ultimate keyboard ninja dedicated to bringing you the juiciest stories on blogosphere