Hii ndio tahadhari idara kuu ya polisi ya Tanzania imetoa tukielekea msimu huu wa pasaka

Image: Riot policemen stand on a truck during as they patrol Zanzibar October 19, 2012. REUTERS/Goran Tomasevic

Idara kuu ya polisi humu Tanzania imetoa tahadhari kwa wananchi wote wakati huu tunapoelekea msimu wa pasaka.

Ni tahadhari ya usalama wakati huu ambao wahalifu wanajitokeza kwa wingi kuhangaisha watu waliojumuika kwenye starehe.

download latest music    

Huu ndio ujumbe Advera, John Mulimba msemaji mkuu wa jeshi la polisi alitumia vyombo vyote vya habari:

Idara ya polisi ya Tanzania

 

About this writer:

Irari Ngugi

Lover of life, lover of big boobs and certified celebrity squasher. Catch me if you can on facebook as Irari Ngugi