Hii ndio video ya Gigy Money akitingisha mauno ambayo inazingua watu mitandaoni

Baada ya kujipoteza kwa muda mrefu kwenye mitandaoni, Gigy Money amejitokeza tena na amekuja kwa vishindo.

Alitoa video moja akizungusha mauno ambayo imezingua watu wengi mitandaoni wengi wakishangazwa mauno na matako yake yamekwenda wapi.

download latest music    

Alafu tena amekua mweusi zaidi kuliko kawaida.

Ebu mwangalie katika hii video baada ya kupombeka, Kitobo vepeee:

 

Gigy Money baada ya kupombeka, Kitobo vepeee

A post shared by President / Rais Wa Shilawadu (@soudybrown) on

About this writer:

Irari Ngugi

Lover of life, lover of big boobs and certified celebrity squasher. Catch me if you can on facebook as Irari Ngugi