Jinsi ya Kurudisha Mapenzi Msimu huu wa Krismas

Mismu huu wa sikukuu has hii ya krismass ndipo watu wengi hukutana kwa ajili ya kufurahia sikukuu hii pamoja,  na ndivyo ilivyo kwa wapenzi kwa sababu inawezekana hamjapata muda mwingi wa kufurahi pamoja lakini kipindi hiki kinaweza kuwa kipindi kizuri sana cha kuwa pamoja,

basi sasa hiki ndicho kipindi muafaka cha kumuonyesha jinsi gani una mpenda yule ulienae kwa kufanya mawili matatu ambayo yanaweza kumfanya aaminina khamsha hisia zenu tena.

download latest music    

katika kipindi hiki vitu unavyoweza kuvifanya kwa mpenzi wako ni pamoja na ;-

zawadi.

kukaa na mtu wako karibu  na kufanya mambo mengi yanayohusu mapenzi sio sababu tisha ya kuamini kuwa unampenda sana, kuna vitu huwa ni vidogo sana lakini vinaweza kumaanisha jambo kubwa sana katika maisha yako ya mahusiano, kwa mfano mtu anaweza kukaa na mpenzi wake hata mwaka mzima hajawahi hata kumleta zawadi, hii sio sawa kabisa, jaribu kumdadishi mpenzi wako anapenda nini na kumleta hata kwa kumfanyia suprise kidogo , hii inahamsha sana mahaba.

 panga ratiba.

Imekuwa ikizoeleka kuwa krismass ndio muda wa vikao vya familia, hivyo wengi usafiri na kwenda majumbani mwao, na kama unakuta mahusiano yao hayajulikana kwa ndugu basi inakuwa ni kama hawajuani sana, basi hii sio vyema pia, ni vizuri kutenga ratiba pia kwa ajili ya mpenzi wako, tambua uwepo wake katika sikukuu hii, na kama mna mipango ya ndoa huu ndio muda mzuri wa kufanya utambulisho kwenu.

kujuana zaidi.

kwa kipindi hiki ni vizuri kukaa pamoja ili kujuana zaidi, kuweni na mud pamoja na kukaa pamoja ili kumfahamu yuke unayeamini kuwa anakupenda na wewe unampenda.jifunzeni vitu vupya kutoka kwa kila mmoja huku mkiamini kuwa muda huo unaweza kufanya penzi lenu kuzidi kukua na hii itafanya hata mtakapo kuwa mbali basi kila mmoja atataka kuwa karibu na mwenzie, hii inaongeza sana mahaba katika mahusiano.

kwa kipindi hiki ni muda wa kujua mwenzako anapedna kufanya nini, kula nini, kutembelea wapi, nini hapendi na nini humpa hasira au kumuumiza kwa mawazo.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.