Mrisho Mpoto Amuita Diamond Kwenye Msiba wa Ruge

Msanii mkongwe wa muziki wa asili wa siku nyingi amefunguka na kushindwa kuvumilia maumivu anayoyasikia hasa anapoona kuwa kila mtu yupo katika msinba wa mkurugenzi wa Clouds Media kasoro msanii Diamod Platinumz.

kwa kuzingatia ilo na upendo baina ya watu, Mrisho aliamua kuweka Public Announcement kwa Diamond na kumwambia kuwa anajua kuwa amekuwa akimheshimu sana na kwa sababu hiyo anampataarfa kuwa Ruge amefariki na aje kwenye msiba kwa ajili ya kuzika.

download latest music    

katika ukurasa wake wa Instagram, taarifa hiyo kutoka kwa Mrisho kwenda kwa Diamond ilisomeka kama inavyoonekana

 

watu wengi wamekuwa na tensio kubwa ya kutaka kujua reaction ya msanii huyo  kwa sababu tangu ruge ameanza kuumwa hakuwahi kuweka wala kuonyeshwa kuguswa na matatizo hayo na hata sasa mwanahabari huyo amefariki hakutaka kuonyesha kusikia swala lolote kuhusu Ruge,.

Hii inatoa tasfiri kuwa zile tetesi za chinichini zilizokuwepo kuwa kumekuwa na upinzani wa nguvu kati ya Ruge na Diamond platinumz ni kweli na kwamba wawili ho kuna mmoja alikuwa na chuki na mwenzie au wote.

 

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.