Picha Za Matukio Ya Msiba Wa Ruge Mutahaba

Siku ya Jumatano tarehe 27 mwezi wa pili Tanzania ilipoteza kijana shujaa na mchapakazi aliyekuwa Mkurugenzi wa Clouds Media Ruge Mutahaba na siku ya jana amezikwa mkoani Kagera.

Hizi ni baadhi ya picha za mazishi ya Ruge ambayo yalifanyika siku ya jana:

.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

About this writer:

Diana

I am a hard working young woman Aspiring writer with dreams larger than life itself, always living by the principle that live today like there is no tomorrow.