Saida Karoli atumia maneno kutoka kwa wimbo wa Darassa kwenye wimbo wake mpya

Saida Karoli amerejea katika ulingo wa muziki kwa kuachia wimbo mpya kali ambayo ni dhibitisho kuwa kipaji chake hakikupata kutu alipokua kimya.

Mkongwe huyo wa muziki wa asili ameachia wimbo mpya unaoitwa ‘Orugambo’  ambayo iliwekwa kwenye YouTube jana Jumatatu.

Karoli alitumia maneno kutoka kwa wimbo wa Darassa ‘Muziki’ kwenye wimbo wake mpya ‘Orugambo’ .

“Maisha na muziki, wacha maneno weka muziki x2” Saida Karoli aliimba kwa wimbo wake mpya.

Tazama wimbo hio kwenye video hapo chini:

About this writer:

Martin Oduor

Ultimate keyboard ninja dedicated to bringing you the juiciest stories on blogosphere