Simanzi nzito! Wananchi wafurika uwanjani Arusha kuaga miili ya wanafunzi 32 (Picha)

Ni simanzi nzito katika taifa, maiti za marehemu wanafunzi 32, walimu 2 na dereva mmoja zilipelekwa katika uwanja wa kumbukumbu ya sheikh Amri Abeid Amani Karume jijini Arusha kwa ajili ya kuagwa.

Wanafunzi na walimu hao walipata ajali baada ya gari walilokuwa wakisafiria kuacha njia na kutumbukia korongoni kwenye eneo la Rhotia wilayani Karatu.

download latest music    

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan yupo miongoni mwa Watanzania walifurika uwanjani Arusha kuaga miili hizo.

 

About this writer:

Martin Oduor

Ultimate keyboard ninja dedicated to bringing you the juiciest stories on blogosphere