Waandishi walioshambuliwa kwenye vurugu za CUF wazungumza kwa mara ya kwanza

Jumamosi ya April 22, 2017 kulitokea vurugu kwenye hoteli ya Vina, pale Dar.

Ilisemekana waandishi wanao muunga mkono Prof. Lipumba walikuwemo hapo wakijidaliano mambo mbalimbali ya kumpadisha kisiasa.

download latest music    

Na kwa hiyo waandishi hao, walikuwa saba wakashambuliwa na kuumizwa na watu ambao hawakuwatambua.

Wamfunguka kwa mara ya kwanza na waliyopitia ni ya kusikitisha mno.

Watazame kwenye hii video:

 

About this writer:

Irari Ngugi

Lover of life, lover of big boobs and certified celebrity squasher. Catch me if you can on facebook as Irari Ngugi