Wasanii 8 Wa Bongo Wanaongoza Kwa Kupendeza (picha)

Wasaani wa Bongo iwe ni mastaa wa movie au muziki wanapenda kujiweka katika muonekano ambao utamtambulisha yeye na kazi zake. Kuwa na muonekano wa kistaa ni muhimu sana ilikuwa na utofauti na wengine.

Mastaa wengi wa bongo hupendelea kuvaa vizuri na kwa wanawake ikiwemo kupaka make up na kutengeneza nywele na kucha mara kwa mara. Pia kitu kinachowafanya wasanii hawa kupendeza ni kuwepo mbele ya camera kila wakati na pia kuangaliwa na jamii.

download latest music    

Katika orodha hii tutaangalia Wasanii wanaongoza kuvaa vizuri na kupendeza;

1. Ommy Dimpoz

.

2. Diamond Platnumz

.

3. Lulu Michael

.

4. Juma Jux

.

5. Jacqueline Wolper

.

6. Idris Sultan

.

7. Wema Sepetu

.

8. Vanessa Mdee

.

About this writer:

Diana

I am a hard working young woman Aspiring writer with dreams larger than life itself, always living by the principle that live today like there is no tomorrow.