Fahamu Jackline Mengi Ndio Mwanamke Anaemiliki Mkoba wa Bei Ghali Tanzania.

Moja ya wanamitindo na wapenda fashion Tanzania, mwanamke mjasiriamali na tajiri JacklineMengi ametajwa kama moja ya wanawake wanaomiliki mkoba wenye bei kubwa Duniani ambapo kwa Tanzania inasemekana kuwa yuko pekee yake.

Ukiangalia mkoba huo unaweza kuona ni wa kawaida na haa design yake wengi waliwahi kuwa nao , lakini hapa wanaongelea brand ya utengenezaji wa mkoba huo na pia thamani yake na ubora wake pia.

download latest music    

Mkoba huo unaojulikana kamaa birkin, unatengenezwa na kampuni ya  Hermes nchini Ufaransa na kwa mujini wa moja ya mitandao ya kibiashara Duanini  eBay, mkoba huo unauzwa kwa pesa za $265oo ambapo kwa pesa za kitanzania ni sawa na shilingi milion 60.

Hata hivyo gharama kubwa ya mkoba huo inakuba pale kwenye material ya utengenezaji wake ambapo inasemekana kuwa unatengenezwa kwa kutumia ngozi ya mamba, lakini pia ni kutokana na kuwa kampuni hiyo ya Hermes ni kampuni kubwa na maarufu Duniani.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.