Steve Nyerere Akanusha Kuumwa UKIMWI.

Msanii wa maigizo na filamu bongo ambae pia ni mchekeshaji Steve Nyerere amekanusha  taarifa zinazosambaa kuwa anaumwa UKIMWI.Steve Nyerere ambae wiki chache zilizopita alitangaza kuwa anaumwa sana na kwamba kama kuna mtu yeyote amemloga basi amsamehe kwa sababu maumivu hayo yamekuwa yakimtesa sana na kwamba mpaka sasa bado hajajua chanzo cha ugonjwa huo.

Steve Nyerere alipokuwa anaongea na waandishi wa habari alisema kuwa amesikia watu wakimuongelea na kusema kuwa anaumwa ukimwi lakini yeye kitu kinachomsumbua sio ukimwi bali ni maumivu ya mgongo na miguu inayomfanya kushindwa kuendelea na kazi zake lakini wale wanaokaa na kumsema kuwa anaumwa ukimwi wanampa kiki ya kuongelewa katika mitandao ya kijamii.

download latest music    

Ukiachana na Steve Nyerere kutangaza kuwa anaumwa sana , kuna baadhi ya wanawake waliojitokeza katika mitandao ya kijamii siku za nyuma na kusema kuwa Steve Nyerere ana umwa ugonjwa wa ukimwi na kusema kuwa wanauthibitisho kwa sababu hata wao wameupata ugonjwa huo kupitia yeye,

Steve Nyerere hivi karibuni amekumbwa na tuhuma hizo na kusemekana kuwa amekuwa akiwasadia wasanii wachanga kwa kuomba kufanya nao ngono na kusababisha kuwaambiza uginjwa huo alionao.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.