Yawezekana Idris Anatoka na Mwanadada Huyu.

Kumekuwa kukisemekana kuwa mchekeshaji na muigizaji idris sultani akawa na mahusiano na mwanadada maya  mia mabe ni make -up artist na pia moja ya washiriki katika mtandao wa you tube.

Tetesi hizo zilianza kusambaa baada ya idris kuweka picha yake na mwanadada huo katika ukurasa wake wa iinstagram lakini baadae kufuta picha hizo huku picha hizo zikigubikwa na comment kivao kutoka kwa mashabiki.

Hata hivyo bado sio mbaya kwa msanii idris ambae tangu alijaribu kuweka mahusiano yake wazi na wanadada wema sepetu na baadae kuvunjika amekuwa akikaa kimya na kuonekana yuko nyuma sana kuweka wazi mahusiano yake.

Lakini pia kutokana na wigo mpana alionao Idris kwa sasa wa kufanya kazi na wasanii wa nje inakuwa rahisi kwake kukutana na watu mbalimbalia ambae anaweza kuweka nao mahusiano mapya.hata hivyo caption za Idris zimekuwa na utata sana katika kurasa zake za mitandao ya kijamii hivyo ni ngumu kuthibitisha swala hilo.

 

Idris Ajitokeza Kuunga Mkono Maandamano ya Amani.

Kumekuwa na uhamasishaji wa maandamano katika mitandao huku waanzilishi wakiwa wanasema kuwa mandamo hayo yatakuwa ya amani kwa siku ya tarehe 26 pril mwaka huu,tangu kumeazna kwa kampeni hizo hakuna msanii au mtu maaruf yoyote aliyeibuka na kusema kitu kuhusu maandamano hayo mpaka jana alipojitokeza Wema Sepetu na kuwashauri watu kuachana na habari za kutraka kuandamana, hivyo hakuwa anaunga mkono  kampeni hiyo.

Siku moja kabla ya siku husika , mchekeshaji na mjasiriamali, Idris Sultan aliweka post katika ukurasa wake wa instagram akiwataka watu kufanya maandamo ya amani yasiytoaharibu mazingira wala hali ya amani katika  maeneo husika.

Idris aliandika” maandamano yeyote yenye amanini kwa ajili ya kuweka awareness flani  bila vita wala ugomvi wa aina yoyote yana haki ya kupewa support kama yamekugusa.inaitwa Democratic United of Tanzania , lets act like our  name.kuwa mzalendo kwa kuepuka maandamano ya shari, Bismillah itangulie.#mzalendo