“Pia kuna wanaume hawakujaaliwa kupewa mayai” Nyota Ndogo strongly defends Jackline Mwende after it emerged she cheated on her hubby

So cheating on your husband and getting a child out of wedlock is ok nowadays, that’s what Nyota Ndogo is defending.

Jackline Mwende has sparked a raging debate social media after it emerged that her husband battered her after she returned from a debauched trip in Machakos where she was knocked up by another man.

Also read: She was screwing another man! Jackline Mwende is pregnant… Admits cheating on her husband way before her limps were chopped off

Nyota Ndogo has come out to strongly support the Machakos woman; she says critics have no right to judge her harshly since women go through a lot in their marriages.

“HUYU MAMA LAZIMA NIMUONGELEE.Mbali na Kua mimi ni mwanamziki but pia napenda kuogelea mambo ya Jamii hasa ikifikia ni ishu ya wanawake……KILA MTU ANAJUA ISHU YA HUYU MAMA NAONA NDIO TOPIC KENYA SIKU YA LEO.wacha niongee ki nyota.wanawake upitia mambo mengi katika ndoa zao.wengine usema tosha wacha naondoke. Wengine usema wacha tu nivumilie kwasababu ya watoto ntafanyaje? Wengine ukaa tu kwaajili hawana pakwenda ama familia zao zimewaambia baki uko uko ndio uvumilivu wa ndoa. TASA..nani alisema tasa iliumbiwa mwanamke? Pia waume kuna ambao hawakujaaliwa kupewa mayai na wengine wanasema huyu mama sijui ndio mwenye makosa oh sijui angeondoka tu kwa hio ndoa mbona amefanya hivyo nje ya ndoa? Watu hasa wakenya wanajua kukashifu wenzao sana.nani anajua huyu mama alipitia mangapi kwa huyu mwanamume? Kwafamilia ya huyu mwanamume? Hata mybe alikua akitukanwa WEWE TASA UZAI ONDOKA.

Jackline Mwende at her supermarket

The ‘Watu Na Viatu’ singer goes on say that Mwende only decided to be impregnated by another man so as to save her sterile husband from shame.

“Wengine hawaondoki kwakua WANAPENDA.huyu nashuku alimpenda sana bwanake akaona the only way ni mimi nifanye hivi couse alijua shida sio yeye na hakutaka kumuaibisha mume wake kwakumtangaza mume HAZAI.MUSHALIFIKIRIA HIO?.kiupande wangu huyu ni binadamu pia na alichoka kusemwa.ila waume wengi hata wakiitwa hospitali kuangaliwa kama tatizo ni yeye hawataki wanaona aibu kwaivyo anaficha aibu yake kwa kumpigia mtoto wawatu kumtukana hadharani ili pia iwe nyimbo kule nje Kua mke wangu hazai.ndio kafanya makosa kutembea nje ya ndoa but mybe alimpenda mume wake sana mbali na aliokua anapitia.NYIE MUNAONAJE? TUSILEMEE UPANDE MOJA.”

 

About this writer:

Martin Oduor

Ultimate keyboard ninja dedicated to bringing you the juiciest stories on blogosphere