“Amber Lulu ni Mpenzi wangu” Bosi wa Kaburu entertainment afanya uhakika katika birthday yake

Mdosi wa Kaburu entertainment, Kaburu juzi alikuwa na sherehe kubwa ya kusherehekea birthday yake katike nyumba yake humo Bunju B jijini Dar es salaam.

Sherehe hiyo ilihudhuliwa na wanamuziki mashuhuri, familia na marafiki zake ambao walikula, kunywa tembo na kufanya furaha mingi.

download latest music    

Kaburu pia alichukua wakati huo kueleza kufanya wazi mapenzi yake na video vixen Amber Lulu. Alieleza kwamba wamaekuwa na uhusiano kwa muda mrefu laini hawakuwa tayari kujitokeza kwa watu.

Tunawatakia kila la kheri katika mapenzi yao.

Picha courtesy of Bongo 5

 

About this writer:

Irari Ngugi

Lover of life, lover of big boobs and certified celebrity squasher. Catch me if you can on facebook as Irari Ngugi