Baaada ya Diamond kuonyesha nyumba yake SA, Ivan kaonyesha yake pia iliyo ya kifahari zaidi

Kwa muda mrefu kumekua na mahangaiko mingi sana katika maisha ya Diamond, Zari na mpenzi wke wa hapo awali Ivan.

Mitandao imekuwa ikieleza kuwa Zari bado ako na uhusiano na Ivan na hata Nillan, mtoto wake wa hivi karibuni ni wake.

download latest music    

Kwa hivyo kumekuwa na uvutano na mashindano mengi nani anyefaa kuwa na Zari. Leo kwa mfano Diamond alionyesha nyumba yake Afrika kusini akiwa na watoto wake alafu masaa kadhaa baadaye, Ivan akaonyesha yake yenye ni ya kifahali zaidi.

Tazama hapa:

 

A post shared by Richgang President (@ivandon) on

About this writer:

Irari Ngugi

Lover of life, lover of big boobs and certified celebrity squasher. Catch me if you can on facebook as Irari Ngugi