Bye bye Dar! Rais John Pombe Magufuli adhibitisha atahamia Dodoma kama alivyoa ahadi

Jiji la Dodoma litakua makaazi maalum ya rais ya Tanzania pale ambapo ikulu itamalizwa kujengwa. Rais John Pombe Magufuli aliahidi kuhama ikulu Dar El Salam.

download latest music    

Magufuli jana Machi 16 alitembelea uwanja wa Chamwino mkoani Dodoma na kuwahakikishia wananchi kuwa atahamia Dodoma hivi karibuni kama alivyoahidi.

About this writer:

Martin Oduor

Ultimate keyboard ninja dedicated to bringing you the juiciest stories on blogosphere