Chuki kubwa kati ya Idris Sultan na Harmonize na ni baada Sultan kutoa maoni mbovu kuhusu mziki wake

Uhusiano kati ya Harmonize and Idris Sultan uko mataani na ni baada ya Sultan kudiss mziki wake.

Jambo ambalo Harmonize alilizumgumzia kwenye Uheard by Clouds FM na Soudy Brown.

download latest music    

”Sina ushikaji na Idris, sina ushikaji naye na hatujawahi kukutana. Halafu kama sijawahi kukutania hata siku moja inakuwaje wewe unitanie?’

“Halafu nitanie vitu vingine ila usitanie muziki wangu. Tuheshimiane kila mtu aendelee kutafuta riziki yake na unaweza ukachekesha kuhusu vitu vingine na watu wakaelewa siyo lazima uchekeshe kwa kutania Brand ya mtu” – Harmonize alisema.

About this writer:

Irari Ngugi

Lover of life, lover of big boobs and certified celebrity squasher. Catch me if you can on facebook as Irari Ngugi