Forbes yamtaja Mtanzania Mohammed Dewji miongoni mwa watu ishirini na tano wenye utajiri mkubwa zaidi barani Afrika 2017

Mohammed Dewji ndiye tajiri mkubwa zaidi Afrika mashariki. Mtanzania huyo ambaye ni afisa mkuu mtendaji wa kampuni ya MeTL Group, ameorodeshwa nambari kumi na sita kwenye listi ya Forbes.

Mohammed Dewji

Forbes huchapisha orodha ya matajiri wakubwa zaidi duniani kila mwaka. Mnaijeria Aliko Dangote bado ndiye mtu tajiri mkubwa zaidi barani Afrika.

download latest music    

Tazama hio listi ya Forbes apo chini:

About this writer:

Martin Oduor

Ultimate keyboard ninja dedicated to bringing you the juiciest stories on blogosphere