Hili ndilo jambo AT alimwambia Rama Dee ambalo linazingua mitandao

Mwanamuziki AT amemchana Rama Dee na kumweleza anafaa kuheshimu waliomtangulia.

Hatua hiyo imekuja siku chache baada ya msanii Rama Dee kusema kiwango cha ‘director’ Mkongwe Adam Juma kiko chini ya viwango katika kutayarisha na kutengeneza ‘video’ na kwamba anamtaka ajifunze kutoka kwa Hanscana kauli ambayo ilipigwa na wadau mbalimbali wa muziki.

download latest music    

Imekuwa desturi kwenye nchi yetu mtu kutomuheshimu mwenzake au nguvu zake, leo unatoka unasema Adam Juma hajui ku-shoot ‘video’, wakati wewe ukipewa ile kamera hata kupiga picha huwezi kujua lakini yule mtu ndiyo amekuja muziki wa Tanzania”. AT alikiambia kipindi cha eNewz cha EATV

Bado Rama Dee hajalizungumzia jambo hilo.

About this writer:

Irari Ngugi

Lover of life, lover of big boobs and certified celebrity squasher. Catch me if you can on facebook as Irari Ngugi