Huzuni nyingi katika familia moja hapa Tanzania baada ya mtoto wao kusukumwa ghorofani na bosi wake huko Oman na kufariki

Huzuni imejaa familia moja hapa tanzania baada ya kitendo cha kusikitisha kutendewa mtoto wao.

Inasemekana kwamba mwana dada huyo kasukumwa kutoka ghorofani mpaka chini huko Oman ambako alikwenda kufanya kazi za ndani huku ikidaiwa aliyemsukuma ni bosi wake wa kike.

download latest music    

Mwili wa marehemu umeshawasili nchini kwa ndege.

Kwa taarifa zaidi tazama hapa:

About this writer:

Irari Ngugi

Lover of life, lover of big boobs and certified celebrity squasher. Catch me if you can on facebook as Irari Ngugi