Mguu niponye! Msanii mpya wa Bongo fleva Hamorapa atimua mbio baada ya kuzuka rabsha baina ya waziri wa kitambo na askari

Matukio ya jana iliofanyika Protea Hotel jijini Dar es Salaam imemfanya msanii mpya wa Bongo fleva Hamorapa kuwa maarufu katika mitendao wa kijamii.

Hamorapa alikua anaenda kumsalamia Mbunge Nape Nnauye (Waziri wa zamani wa Habari) pale alipomwona akiwasili.

download latest music    

Kabla hata hajamfikia Mbunge huyo, askari mmoja alimvamia Nnauye akitaka arudi kwa gari lake na aonodeke.

Hamorapa, aliyekua amesimama hatua chache kando, alitimua mbio baada ya kuona polisi huyo akitoa bastola na kumtisha Mbunge.

Video inayo onyesha rabsha baina ya waziri wa kitambo na askari imesambaa kwenye mitandao, Hamorapa alionekana akitimua mbio kwenye video hio.

Tamaza hio video hapo chini:

About this writer:

Martin Oduor

Ultimate keyboard ninja dedicated to bringing you the juiciest stories on blogosphere