Alichosema Lukamba Kuhusu Zawadi Aliyopewa na Diamond.

Mpigapicha maarufu wa msanii Diamond platinumz anaejulikana kama Lukamba amfunguka na kukanusha tetesi za kuwa baada ya makabidhiano ya gari hilo amekuwa akikatwa katika malipo yake ya kazini kulipizaia gar hilo.

Lukamba anasema kuwa sio kweli kuwa anakatwa pesa yoyote kama watu ambavyo wamekuwa wakisema ktaika katika mitandao ya kijamii kwa sababu hiyo ilikuwa i zawadi aliopewa na bosi wake.

Mara nyingi kumekuwa na tetesi hzio za kuwa kila anaepewa gari na msannii diamond kuna kiais huwa wanakwatwa katika  mishagara yao ili kulipa zawadi hizo kitu mabacho kimekuwa kikisemwa siku nyingi lakini wasaii wa WCB  wamekuwa wakikanusha taarifa hizo.

Lukamba alikabithiwa gari aina ya alteza siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Diamond platinumz ikiwa kama zawadi ya ufanyaji kazi mzuri na kujituma katika lebo hiyo.

 

Diamond Amkabidhi Mpiga Picha Wake Gari Jipyaa

Msanii wa Bongo fleva Diamond Platnumz amemfanyia bonge la surprise mpiga picha wake anayejulikana kama Lukamba baada ya kumkabudhi gari jipya.

Diamond amempa gari aina ya Toyota Alteza Lukamba siku ya Ijumaa iliyopita alipoenda kutoa msaada Tandale, ambapo Diamond alifunguka:

Lukamba anakaa Bunju, kuna kipindi alikabwa na kuchukuliwa hadi laptop sasa leo nampatia gari,”

Baada ya kukabidhiwa gari hilo, Lukamba alimuandikia Diamond ujumbe huu Kupitia ukurasa wake wa Instagram:

Hadi Sasa Nimekosa Maneno Ya Kuandika Yatakayoweza Kubeba Hisia Zangu Za Furaha Niliyonayo,Nimekuwa Nikiandika Na Kufuta Kila Neno Ninaloandika Naona Halijitoshelezi Nahisi Halina Uzito Kuelezea Kilichopo Moyoni Mwangu….. Bro @diamondplatnumz umekuwa msaada sana kwa Sisi vijana maskini wenzako, Mungu azidi kukupa moyo wa kidogo unachopata kugawana na wenzako, pia nishkuru uongozi wa @wcb_wasafikwa kudhamini kidogo changu hii imenipa moyo sana wa kuzidi kujituma zaidi na zaidi
God bless you simbaaa ????????????@diamondplatnumz”.