Victoria Kimani ataja wasanii wanne wa Bongo ambao wametoa nyimbo kali sana

Mwimbaji Victoria Kimani kutoka Kenya anaamini wasanii wanne pekee kutoka Tanzania ndio wametoa nyimbo kazi sana.

Msanii huyo ambaye huskiza nyimbo za Bongo, amesema nyimbo tatu tu kutoka Tanzania ndizo zimemfurahisha sana.

download latest music    

Victoria amesema ‘Zigo’ ya AY na Diamond, ‘Aje’ ya Ali Kiba na ‘Kamatia’ ya Navy Kenzo ndizo nyimbo za Bongo ambazo anazikubali.

About this writer:

Martin Oduor

Ultimate keyboard ninja dedicated to bringing you the juiciest stories on blogosphere