Willy Paul akutana na role model wake, Diamond Platnumz

Hivi sasa msanii wa nyimbo za injili Willy Paul yuko Tanzania wiki hii kwaajili ya ziara ya vyombo wake mpya ‘I do’ aliomshirikisha msanii wa Jamaica, Alaine.

Kupitia mitandao wake wa Instagram Willy Paul alisema kuwa yuko Tanzania kupromote wimbo huu kupitia vyombo maharufu vya Tanzania. Leo asubui aliweza kufika katika kituo cha clouds tv 360 amabapo aliweza kuzungumzia kuhusu wimbo wake mpya.

download latest music    

Soma: Hatimaye Ray C akutana na Rayvanny na Diamond Platnumz
Kupitia mitandao yake ya kijamii Willy Paul alindika kusema,

Tanzania clouds tv 360.. I’m almost love… tune in to clouds tv and see ur favorite boy.. Willy paul.. #Ido song promotion

Hata hivyo, si mashibiki wengi walifurahia anachokifanya Willy Paul kama msanii anayejitambua kama mwimbaji wa nyimbo za injili. Wengi waliwacha comments wakimsihi achangue msimamo kati ya gospel na injili.

Wengi wa mashibiki walisema kuwa Willy Paul Msafi anajificha katika gospel music kutengeza pesa ilhali anajichanganya na wasanii wanaoimba muziki wa kidunia kuonesha kuwa nia yake si safi.

About this writer:

Pauline Syombua

Content Developer IG: Kermbua