Zari atisha na vazi hili linaloonyesha umbo lake miezi kadhaa baada ya kuzaa Nilan (Picha)

Ukimtazama mke wa Diamond Platnumz hauwezi sema kuwa ni mama ya watoto watano. Tangu ajulikane ameweza kuwapa wengi kiwewe kwani anajitambua kama mwanabiashara mbaye anakazi zake na jukumu la kuaangalia familia yake.

Tangu ajifungue mtoto wake wa pili na Diamond Platnumz Zari amekuwa akifanya mazoezi tofauti kurudisha mwili wake wa zamani. Kulingana na picha zake za Instagram mama Nilan anaonekana kuwa amekuwa akitia bidii na matokeo yake yanaonekana.

download latest music    

Hivi karibuni aliwachilia picha kama amejivaa jumpsuit ambayo inaonyesha umbo lake la kuvutia huku mashabiki wakiwacha maoni yao chini ya picha ile.

Sio siri kwamba Zari anajitambua na ingawa sio kila mtu anampenda, mama huyu anatisha sana. Tazama picha yake hapa chini.

Zari
Zari

About this writer:

Pauline Syombua

Content Developer IG: Kermbua