Download More Music

“Raila alionelea asilale kwake” Kalonzo Musyoka offers detailed explanations why he skipped the swearing-in

January 31, 2018 at 07:06
"Raila alionelea asilale kwake" Kalonzo Musyoka offers detailed explanations why he skipped the swearing-in

Kalonzo Musyoka has responded to dismiss claims that he betrayed Raila Odinga. The Nasa co-principal said circumstances forced him not to attend the swearing in ceremony.

Kalonzo spoke in an audio that has since been released to the media. In the audio Kalonzo explains that all Nasa principals agreed to attend the swearing-in together.

Download More Music
Raila didn’t sleep at his home

He says that Raila was a bit cautions and he opted not to sleep at his home. The three other principals slept at their homes but they couldn’t make it to Uhuru park in the morning because their security detail was withdrawn.

Kalonzo reveals that he spent the day in a room with Mudavadi and Wetangula because they had no bodyguards to take them to Uhuru Park.

Below is the transcription of Kalonzo’s audio

Well wasikilizaji, najua kwamba kuna hali ya taharuki kwa sababu ya yale yalitokea. Mwenzangu mweshimiwa Raila Odinga alienda akapata kiapo, akapatiwa kiapo Uhuru Park na mimi kama mgombea mwenza sikuweza kufika kwa sababu ambazo sasa zinaeleweka.

Jana usiku tulipokutana mweshimiwa Raila alionelea ni vizuri asilale kwake na mimi nkaona lazima nilale nyumbani tukapanga hivyo. Lakini asubuhi nadhani wengi wameona kwa runinga vile askari ambao ni walinzi hapa walikuja kuchukuliwa mapema zaidi. Wakachukuliwa wale wako hapa Nairobi, wakachukuliwa wale wako uko nyumbani Sekuru, ilikua ni kama tiso.

Na ata wale maaskari kawaida huwa nao kwa gari wakachukuliwa jana wakaambiwa kila mtu akionekana hivi ataachiswa kazi, atafutwa kazi. Kwa hivyo nlikua mimi pekee yangu. Na nkakaa hadi saa tano hivi na ndo waandishi wa habari wakaja na nlipotoka hivi kukawa basi tulikua tumepigiana simu na tukutane na Raila na Wetangula na Mudavadi tuelewane vile tunaenda Uhuru Park lakini hatukufika.

Sisi, mimi Wetangula na Mudavadi kwa sababu hatukua na bodyguards tukajipata kwamba tumezuiliwa kwa chumba kimoja. Na hayo ndo ambayo yalifanyika. Kwa kifupi mimi nko tayari vile ndugu Raila alivyosema wakati unaofaa tumekubaliana tuende tupate kiapo ile wanainchi wajue sisi sio watu wa kurudi nyuma, sisi ni watu ambao wako na msimamo. Kwa sasa naomba tu wambao wanaendesha mambo ya mtendao wawache kutoa matamshi ambao yanaweza kudhuru uhusiano wa wanaNasa kwani sisi principals wanne tuko imara na tuko kitu kimoja.

 

Loading…

Share

Comments

  1. What sort of nonesence ai aongee tu english mara moja? Bagga

  2. They could have been harmed,let’s not look at it blindly,this is Kenya

  3. They know better,without security anything could happen

  4. In fact nobody knew where RAO was,this was a risky affair

  5. I can imagine what he is going through being called all sort of names,chameleon,watermelon

  6. did your foot soldiers have bodyguards? you could have driven yourself there!!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *


in News