Hili ndilo onyo Diamond Platnumz alitoa kwa wanawe Tiffah and Nillan

Diamond akitumia mtandao wa instagram ametoa onyo kali kwa wanawe Tiffah na Prince Nillan.

Amewaomba wakikomaa watumie midomo yao vizuri na si kuyaongelea mambo ya watu.

download latest music    

Sababu zake kufanya hivo bado hazijajulikana lakini ni tamaduni kwa waafrika kukashifu watu wanaopenda mambo ya watu wengine.

Huu ndio ujumbe kamili wa Diamond:

 

Prince & Princess Lion!!!.. Midomo mkaitumie vizuri hiyo watoto….? @princenillan @princess_tiffah

A post shared by Chibu Dangote (@diamondplatnumz) on

About this writer:

Irari Ngugi

Lover of life, lover of big boobs and certified celebrity squasher. Catch me if you can on facebook as Irari Ngugi