Shilole ana mpenzi mpya na haya ndio maoni ya Nuh Mziwanda kuhusu ishu hiyo

Leo 5th April, 2017 katika U heard ya Soudy Brown, alimweka Nuh Mziwanda kwenye mitandao kuizungumzia ishu ya Shilole.

Mwanadada huyo wakati huu ana mpenzi mpya na Soudy Brown alitaka kusikia maoni ya Nuh Mziwanda kuhusu jambo hili.

download latest music    

Soma pia: Shilole aeleza kwanini hakujaliwa kumzalia mtoto ex wake Nuh Mziwanda

Kwa kweli alikuwa na uchungu mwingi moyoni wakati alisema hivi:

”Good for her, ila hainihusu ni maisha yake na mimi nina maisha yangu. So vitu vingine siyo vya kuniuliza. Mimi hainuhusu bora uniulize kuhusu wimbo wangu wa Anameremeta siyo kuniuliza mambo ya mtu mwingine anayeishi maisha yake.”

Na Shilole amrudie huyu jamani!

About this writer:

Irari Ngugi

Lover of life, lover of big boobs and certified celebrity squasher. Catch me if you can on facebook as Irari Ngugi