Mme Wangu Akioa Mke wa Pili Nadai Talaka:-Shamsa Ford
Mwanadada Shamsa Ford amefunguka na kusema kuwa endapo mme wake ataoa mke wa pili basi hiyo itakuwa ndio mwisho wa ndoa yake kwa sababu hawezi kuvumilia kuona mme wake anaenda kulala na mwanamke mwingine akijua kabisa kuwa leo sio zamu yake.
Akiongea na bongo 5 ,Shamsa anasema kuwa katika maisha yake ya ndoa na chid mapenzi hajawahi hata siku moja kuingia katika mikiki miki na me wake zaidi ya kipindi ambacho mme wake alipata matatizo na kupeleka selo tu.
Labda kipindi kile mme wangu yuko ndani ndio kidogo nilipata tabu na nilisema niepeitia matatizo na niliandika post ya huzuni kidogo.lakini isjawahi kujutia ndoa yangu.
Namtaniaga nyumbanu siku zingine kuwa mme wangu oa basi mke mwingine , yeye ananiambiamaisha yangu tu me wapi, lakini hata kama dini inaruhusu kwakweli mimi nina wivu sana sitaweza kuvumilia najua kabisa leo sio zamu.na ikitokea siku ananiambia anataka kuoa mke wa pili nitamwambia tu talaka yangu na ndipo aoe mke wa pili.–Alifunguka Shamsa