Idris Ajitokeza Kuunga Mkono Maandamano ya Amani.
Kumekuwa na uhamasishaji wa maandamano katika mitandao huku waanzilishi wakiwa wanasema kuwa mandamo hayo yatakuwa ya amani kwa siku ya tarehe 26 pril mwaka huu,tangu kumeazna kwa kampeni hizo hakuna msanii au mtu maaruf yoyote aliyeibuka na kusema kitu kuhusu maandamano hayo mpaka jana alipojitokeza Wema Sepetu na kuwashauri watu kuachana na habari za kutraka kuandamana, hivyo hakuwa anaunga mkono kampeni hiyo.
Siku moja kabla ya siku husika , mchekeshaji na mjasiriamali, Idris Sultan aliweka post katika ukurasa wake wa instagram akiwataka watu kufanya maandamo ya amani yasiytoaharibu mazingira wala hali ya amani katika maeneo husika.
Idris aliandika” maandamano yeyote yenye amanini kwa ajili ya kuweka awareness flani bila vita wala ugomvi wa aina yoyote yana haki ya kupewa support kama yamekugusa.inaitwa Democratic United of Tanzania , lets act like our name.kuwa mzalendo kwa kuepuka maandamano ya shari, Bismillah itangulie.#mzalendo