Mange Kimambi Aibuka Kidedea Tuzo za beffta
Waandaaji wa tuzo za beffta wametoa matokea ya tuzo mbalimbali, ambapo katika kipengele cha Most Inspirational African Female Politics ameshinda mwanadada Mange Kimambi mtanzania anaeishi Marekani.
Katika ukurasa wake wa instagram, Mange kimambi amendika yafuatayo baada ya kutangazwa “‘i’m honoured to every person who voted for me , thank you .”
Tuzo hiyo iliyolewa kwa mange kimambi iliangazwa katika mitandaoa na kuwataka watu wananchi kumpigia kura mshiriki wanaeona anafaa kupewa tuzo hiyo.