Watanzania Walioshinda Tuzo za Africa Entertainment Awards USA 2018
Rayvanny amefanikiwa kuchykuwa tuzo katika kipengele cha Best vocalist of the year 2018
Diamond amefanikiwa kuchukua tuzo mbili ambazo ni Best collaboration of the year katika wimbo wa African beauty aliofanya na Omarion na nyingine ni msanii bora wa mwaka wa kiume.
Nandy pia amepata tuzo katika kipengele cha Best female artist of the year 2018
Dj wa msanii maarufu Diamond, anaejulkana kama Rommy Jones amepata Tuzo ya best Dj of the year