Sijawahi Kuachwa na Mwanamke :-Young Killer
Msanii young killer amefunguka na kusema kuwa katika maisha yake hajawahi kuachwa na mwanamke hata mara moja zaidi ya kuwaacha yeye.
Akiongea kuhusu muziki anasema kwa sasa anafanya vizuri katika muziki na kusema kuwa katika maisa yake yote ya mahusiano hajawahi kuachwa na mwanamke na kama watu wanajua kuwa kwa sababu yeye ni handsome asiekuwa na matunzo basi hajui kutupia watakuwa wanajidanganya.
kwenye mapenzi mimi sijawahi kuachwa na mwanamke yoyote, na wasije wakaksikia kuwa kwa sababu mimi ni handsome nisie na matunzo basi wakajua kuwa siujui kutupia wanajidanganya,
Young killer liwahi kutangaza hivi karibuni kuachana na mrs superstar kwa sababu ambazo haziweza kuzuilika kati yao lakini walikuwa katika mahusiano kwa muda mrefu.