Kesi ya Wema Kuhairishwa Tena.
Kesi ya mwanadada Sema sepetu imehaishwa tena mpaka mwezi ujao tarehe 12 ilipokuwa imetajwa na kusikilizwa tena leo katika mahakama ya kisutu.
Mwanadada Wema Sepetu anashitakiwa na TCRA kwa kosa a kuchapisha video chafu akiwa faragha na mpenzi wake hapo siku za nyuma na wema amekuwa huru kwa dhamana kutokana na kesi hiyo.
Hata hivyo kesi hiyo bado inaonekana kumtesa Wema ukizingatia kuwa hana muda mrefu tangu amekuwa na ksei nyingine ya kukutwa na madawa ya kulevya.