Baba mzazi wa Diamond Hoi Kitandani.

Baba mzazi wa Diamond Platinumz ameripotiwa kuwa hoi kitandani kutokana na ugoinjwa wa miguu unaomsumbua kwa sasa huku akiwa anaripotiwa kuwa haijulikani anaumwa ugonjwa gani mpaka sasa

Hata hivyo inasemekana kuwa pamoja na kwamba baba huyo amekuwa mgonjwa lakini mtoto wake Diamond Platinumz ameshindwa kwenda kumsaidia hata kwa pesa za matibabu baba yake mzazi.

download latest music    

Baba huyo mzazi amekuwa akiumwa lakini alishawahi  kufanya juu chini kwa ajili ya kufanya mazungumzo na mtoto wake huyo kwa kiume ili kuwa na mahusiano mazuri na mtoto huyo lakini swala hilo linaonekana  kushindikana

Picha inayosambaa ikionyesha hali ya miguu ya baba mzazi wa Diamond

 

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.