Afande Sele Kumng’oa Sugu 2020

Msanii mkongwe kutoka Morogoro Afande Sele amefunguka na kusema kuwa anajipanga kung’oa sugu katika jimbo lake la uchaguzi mbeya ifikapo mwaka 2020 katika uchaguzi mkuu wa wabunge na rais.

Afande sele ambae hapo awali alipoimia katrika siasa alikuwa chama cha ACT Wazalendo lakini kwa sasa yupo CCM nasema kuwa anaona jinsi sugu alivyojineemesha na ela za uongozi huku akiacha jimbo lake halina maendeleo yoyote hivyo ameamua kumnyang’anya jimbo hilo ili kuwainua wananchi wa mbeya.

download latest music    

sasa hivi ana miaka kumi lakini anaonekana yeye tu na wala sio jimbo lake na hata katika nyimbo zake anavyojisifia yeye wala sio jimbo lake, kwamba ana hoteli kubwa ya kisasa kwamba an marafiki wakubwa na matajiri kama kina Chenge , kwaio haizungumziii mbeya aliyoimba kura na kusema ataisaidia.

Afande sele anasema kuwa atahakikisha kuwa mwaka 2020 atampigia debe mgombea mwingine kutoka chama cha CCM ili kurudisha heshima ya chama icho katika jimbo hilo ili pia wananchi waweze kufaidia na maendeleo.

Hata hivyo, afande sele anasema kua mwaka huo wa uchaguzi atamng’oa  Profesa  Jay aliyewahi kuwa swahiba wake na kufanya kazi ya sanaa pamoja kutokana na kujinufaisha mwenyewe huku akisahau kuwa yeye ndie alikuwa akimpigia  debe ili apate nafasi hiyo ilhali yeye kwao sio Morogoro Mikumi.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.