Akiwa na Miaka 18,Lyn Atajwa Kuwafunika Wasanii wa Kike kwa Utajiri Tanzania.

Video vixen Irene maarufu kama Lyn ametajwa kuwa msichana mdogo mwenye umri chini ya mika 18 huku akiwa na utajiri wa kuwazidi baadhi ya wasanii wengi wa kike nchi kwa sasa.

Lyn ambae anarippotiwa kutajwa mara nyingi katika mitandao ya kijamii kuwa amekuwa akimilki magari ya kifahari mengi na pia nyumba za kifahari jijini  kuliko msanii yoyote wa kike nchini.

download latest music    

Hata hivyo wapo wanaosema kuwa mwanadada huyo amekuwa akitumia mwili wake kujpatia vyote hivyo huku yeye mwenyewe akidai kuwa hivyo vyote ni nguvu yake.

Hata hivyo, waliowahi kufanya kazi kama yake wamekuwa wakimtolea mapovu wakisema kuwa mwanadada huyo amekuwa akidanga na kupewa vitu hivyo na ipo siku vitamtokea puani , lakini yeye mwenyewe amekuwa akijiamini na hata kuweka katika mitandao mali zake na hati za nyumba na kadi za magari.

Akifananishwa na wasanii wengine kama Irene au wema sepetu , mwanadada huyo anaonekana kuwazidi woe kwa mali anazimiliki sasa, hata hivyo yeye mwenyewe anasema “ndio ni mali zangu na nimekuwa nikiposti hat za nyumba na kadi za magari.tena nina nyumba nne na magari mannneachilia mbali nililonunuliwa wiki iliyopita na vyite vina jina langu.

kinachowauma watu ni kwamba nina miliki vitu vikubwa katika umri wangu mdogo, nimewapita hata hao niliowakuta, sikudanganyi mimi nina ishu zangu kibao ninafanya mjini hapa.na kama kudanga rahisi basi na wao wadange.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.